Tangawizi Ni moja kati ya mimea michache yenye uwezo wa kutibu maradhi mbalimbali kwa wakati mmoja. Kwa miaka na miaka tangawizi imekuwa ikitumika kujitibia maradhi mbalimbali pasipo kwenda hospitali, hata kipindi hospitali za kisasa hazijaanza mababu zetu walikuwa wakiutumia mmea huu na umekuwa ukileta matokeo chanya kwa kiasi kikubwa sana. Baadhi ya maradhi ambayo hutibiwa kwa kutumia tangawizi ni kama vile:
1. Inatibu kuchelewa kupata siku kwa wasichana (hedhi) pamoja na matatizo ya hedhi kwa ujumla,
2. Husaidia nguvu za kiume.
3. Mafua baridi
4. Matatizo ya tumbo
5. Goita
6. Uvimbe
7. Koo
8. Kuharisha
9. Kupunguza tindikali (Acid)
10. Kipindupindu
MATAYARISHO
Chemsha, kunywa ikiwa yamoto.
Unywe tangawizi mbichi iliyotwangwa kama chai bila sukari. Kikombe kimoja kwa siku, kwa siku 5
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
je? kama naitaji kitabu kwa kutumia e-mail ntakipataje sijaona g-mail yako hapa
ReplyDeletenaitaji kitabu kwa kutumia g -mail ntakipataje na sijaona g - mail yako hapa
ReplyDelete