Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, Ni dawa ambayo imetumika kwa miongo mingi sana kutibia matatizo mbalimbali ya wanawake. Imethibitiksa kuwa na uwezo wa:-
1. Kusafisha Kizazi.
2. Kuzibua mirija ya uzazi
3. Inatibu kabisa matatizo ya change la uzazi
4. Inapevusha haraka mayai hivo kupelekea mwanamke kuwahi kupata mimba.
5. Inarekebisha mfumo wa homoni wa mwanamke
6. Inarekebisha Mfumo wa hedhi na kutibia maumivu makali wakati wa Hedhi.
MATUMIZI
Chukua majani haya yatangwe vizuri kasha loweka ikae kwa masaa 12 kisa mgonjwa anywe kikombe cha cha kutwa mara 3 kwa siku 3 hadi tano. Ni vizuri sana kama mgonjwa atatumia kipindi chake cha hedhi. Lakini kama hapati hedhi basi atumie muda wowote ule. Hivo ni vizuri sana kuyapanda majani haya nyumbani kwako kwa kuwa ni muhimu sana.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku