Poleni sana wanaume mnaosumbuliwa na tatizo hili nalijua jinsi ambavyo huwa linasumbua unaweza kutamani hata kuzikata nyeti zako. Na inawezekana umeshatumia dawa nyingi sana lakini mafanikio yamekuwa madogo leo napenda ujifunze dawa hii rahisi ila
huwa inawasha kiasi kwa siku mbili au tatu za mwanzo ila baadae mambo huwa mazuri sana.
MAHITAJI:
(i.) Mafuta ya nyoyo
(ii.) Kitunguu saumu
(iii.) Aloe vera
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua kitunguu saumu na aloe vera na uvisage kwa pamoja kisha
viweke kwenye mafuta ya nyonyo na uchemshe kwa pamoja kwa dakika 5, epua na acha yapoe na uyachuje, mgonjwa anatakiwa
kupaka mafuta hayo kutwa mara mbili kwa siku 5 hadi 7, kwa uwezo wa Mungu tatizo hilo litakwisha kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku