Tango Ni moja kati ya matunda yenye virutuhisho vingi na muhimu sana kwa mwanadamu. Ulaji wa tango kwa ukawaida humsaidia mtumiaji kujiepusha na maradhi mbali mbali. Baadhi ya maradhi ambayo tango huweza kutibu au kuzuia yasitokee ni kama vile.
1. Vidonda vya tumbo
2. Magonjwa ya ngozi
3. Majipu
4. Kulainisha ngozi kwa kutakata tango kwenye vipande vidogo vidogo Kisha kusugua uso taratibu kwa kutumia vipande hivyo
5. Inasafisha utumbo mwembamba na kurahisisha mmeng'enyo wa chakula.
6. Inatibu figo na kuongeza uwezo wa figo kuchuja maji hivyo kumuepusha mtumiaji na matatizo ya kuvimba miguu uzeeni
7. Huweka mwili katika hali bora zaidi kiafya
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku