Moja kati ya matatizo ambayo huwasumbua watu wengi bila shaka huwezi sahau kutaja matatizo ya meno. Wengi wetu tumekuwa tukikumbilia tuu kung'oa pale tunapoona jino limechimbika na linauma, huwa tunafanya hivyo tukihisi kuwa hiyo ndiyo njia rahisi ya kumaliza tatizo na kuepukana na adha ya maumivu hayo pasi na kujua kuwa chanzo cha tatizo hilo nini, baada ya muda kidogo tunaanza tena kuona jino lingine limeanza kuchimbika. Sasa leo napenda kuelezea dawa ambayo ukiitumia hapo nyumbani itaweza kutibu kabisa tatizo la meno badala ya kuendelea kung'oa kila uchao. Dawa hii itasaidia kwenda kumuua mdudu anaesababisha jino kuchimbika, elewa ya kwamba ukiweza kumuondoa mdudu huyo basi utakuwa umeyaokoa meno mengine yasiweze kuathiriwa tena.
MAHITAJI:
Mizizi ya muembe
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Unachotakiwa kufanya ni kuchukua mizizi ya kutosha kisha chemsha na usukutue kutwa mara 3 kwa siku 7 kwa uwezo wa Mungu utakuwa umepona kabisa tatizo la Meno.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku