Maradhi ya tumbo ni kielelezo cha hali mbalimbali kulingana na jinsia, lakini leo nitalenga sababu mojawapo inayoweza kuleta maradhi ya tumbo – USAFI WA KILE TUNACHOKULA.
Ni muhimu kujiandalia chakula chako mwenyewe kwa sababu za kiafya. Lakini inapotokea umekula chakula au kinywaji kichafu na ukapata maradhi ya tumbo na kuharisha mfululizo basi njia ya haraka ya kuondoa adha hiyo siyo nyingine bali ni CHUMVI.
NDIYO. Kisayansi inaitwa kloraidi ya sodiamu ambayo tumekuwa tukiitumia kwa karne nyingi kuungia vyakula vyetu na pia kuvitunza. Kwani tabia zake za kikemikali zinaifanya kampaundi hii isiwe rafiki kwa vijidudu vya magonjwa kama bacteria na fangasi.
NAMNA YA KUITUMIA KUONDOA MARADHI YA TUMBO NA KUHARISHA MARA MOJA.
Kwa matumizi ya haraka utahitaji chumvi (vijiko vitatu vya chakula ambavyo havijajazwa sana), maji safi ya kunywa robo lita (mililita 250). Changanya na koroga na utaona rangi ya maji imebadilika na kuwa na rangi ya chaki kiasi,hapo tiba itakuwa tayari.
Jikaze na kunywa mchanganyiko wote kutoka kwenye glasi uliyochanganyia. Kuziba pua wakati wa unywaji husaidia kuepusha kutapika. Sukutua kwa maji safi na salama mdomoni baada ya kunywa na unaweza ukatema au ukameza kulingana na jinsi unavyojisikia kuhusu chumvi uliyokunywa.
MAPENDEKEZO
– unaweza kupunguza kiwango cha chumvi kutoka vijiko 3 hadi 1 kwa mililita 250 za maji ya kunywa. Ila itachukua muda mrefu zaidi kufanya kazi.
– unaweza kuongeza na sukari katika mchanganyiko wa dawa hii.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku