Ugonjwa wa viungo / maumivu
na uvimbe. Tengeneza kikombe cha chai (vijiko 2 vya chakula vya asali
na kijiko 1 cha chai cha mdalasini) kunywa asubuhi na jioni. Chua sehemu yenye maumivu kwa kutumia mchangayiko wa asali,maji ya uvuguvugu na mdalasini.
Endapo unasumbuliwa na tatizo fulani kiafya na umeshindwa kuandaa dawa ya tatizo hilo hapo nyumbani kutokana na sababu tofauti tofauti kama vile upatikanaji wa mahitaji husika ya dawa hiyo hapo nyumbani, basi waweza wasiliana nasi kwa simu namba 0676 298 270 uweze kupata dawa ya tatizo hilo kutoka ofisini kwetu au waweza kututembelea ofini kwetu kwa msaada zaidi, tunapatikana Mbezi Kwa Msuguri - Dar es salaam. Na pia endapo umependa mada hii na unapenda kujua jinsi ya kujitibia maradhi tofauti tofauti ukiwa nyumbani, unaweza kupata kitabu chetu ambacho tumeelezea jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 60. Kitabu hicho ni soft copy (digital book) na unaweza kukipata kupitia whatsapp au email yako kwa shilingi 5000/- tu. Wasiliana nasi kupitia 0676 298 270. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi kwa Msuguri - Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku