Dawa hii ni mahususi kwa wanawake ambao hawajawahi kabisa kupata watoto na hospitalini wameonekana wapo sawa kabisa na wana uwezo wa kuzaa.
MAHITAJI:
(i.) Mizizi ya aloevera
(ii.) Mizizi ya mpera
(iii.) Mzizi ya mbaazi
(iv.) Mizizi ya mgegele
(v.) Mzizi ya ndulele
(vi.) Mizizi ya mnyaupemba
(vii.) Unga wa ulezi uliooteshwa
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Twanga mizizi yote hiyo na uianike juani iakauke kisha isage upate unga wake, tengeneza uji wa unga wa ulezi uliooteshwa kikombe kimoja kisha chukua dawa kijiko kidogo kimoja weka kwenye uji wako na ukoroge vizuri na mgonjwa anywe kutwa mara 2 kwa siku
14, ni vizuri dawa hii itumike mara baada ya kuanza hedhi. Wakati wa kutumia dawa hii huruhusiwi kushiriki tendo la ndoa, unatakiwa kushiriki tendo la ndoa siku ya mwisho ya kutumia dawa hii kwa uwezo wa Mungu siku hiyo hiyo utashika mimba, ikiwa hukufanikiwa rudia dawa unapoona hedhi tena. Endapo utashindwa kuandaa dawa hii hapo nyumbani kwako kutokana na changamoto mbali mbali kama vile upatikanaji wa mahitaji hayo basi waweza fika ofisini kwetu Mbezi Kwa Msuguri ukapata dawa hiyo kwajili ya tatizo lako, au waweza wasiliana nasi kwa simu namba 0676 298 270.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku