95% ya Kansa zote unazozifahamu wewe ni matokeo ya
maisha tunayoishi tu. Kwa maana nyingine kansa zinaepukika kabisa kama tukiwa
na elimu sahihi na nini tufanye na nini tusifanye ndio maana nimekuandikia ule
utaratibu wa kula kwenye sura ya kwanza ya Kitabu hiki najua ukizingatia vizuri
tena kwa makini ndani ya miezi mitatu hadi sita unaweza kupona kansa ya aina
yoyote inayokusumbua. Najua kinachotusumbua wengi ni kukosa nidhamu tu ya
kufuatisha huo utaratibu kwa makini. Lakini kwa kuwa unaipenda afya yako najua
utajitahidi kuzingatia kwa kadri uwezavyo, sasa wakati unaendelea kufuata
utaratibu huo tumia pia na dawa hii.
Mahitaji: Mizizi ya
Maua ya Periwinkle
Majani ya Mstafeli
Matayarisho
na Matumizi:
Chemsha kwanza mizizi ya Periwinkle kwa dakika 20
kisha chukua majani ya mstafeli weka huko ndani na vichemke pamoja kwa dakika 7
kisha acha ipoe na uchuje, mgonjwa anywe dawa hiyo nusu kikombe cha chai kutwa
mara 3 kwa mwezi moja afu aendelee kufuata tu utaratibu wa kula kwa miezi
mitatu hadi sita kulingana na ukubwa wa tatizo lake.
UTARATIBU WA KULA
Napenda
kuanza kitabu hiki kwa kukupa utaratibu huu muhimu wa kula ambao unatakiwa
kuufuata Ikiwa utapenda kutumia dawa yoyote iliyopo katika kitabu hiki. Fuata
utaratibu huu wa kula kwa siku zote utakazokuwa unatumia dawa na ikiwezekana
ufanye kuwa sehemu ya maisha yako.
Asubuhi Kula Matunda Tu: Unatakiwa kula matunda tu kuanzia
asubuhi unapoamka hadi saa 6 mchana. Huruhusiwi kula kitu kingine chochote
zaidi ya haya matunda tu, hivyo huruhusiwi kunywa chai, kahawa, maandazi,
mikate chapati na vyakula vingine vyovyote. Nafikiri sasa utapenda kufahamu je,
ule matunda kiasi gani? Kwanza unatakiwa kupima uzito wako katika kilogram,
ukishafahamu kuwa una kilo kadhaa mfano una kilo 80, chukua Uzito wako zidisha
kwa kumi hivo kama ni 80 x 10 =800grams hivo kwa mwenye kilo 80 anatakiwa kula
gram 800 au zaidi za matunda.
Ikiwa
uzito wako ni kilo 68 maana yake chukua 68 x10=680 hivo mwenye kilo 68
anatakiwa kuwa grams 680 au zaidi za matunda. Ni hesabu rahisi sana, Kula
matunda hayo ni lazima sio hiari.
Mchana na Jioni kula Kachumbari: Tengeneza Kachumbari ya kutosha, unaweza
kuweka nyanya, kitunguu, Tango, Karoti, Pipili Hoho, Kabeji, na vinginevyo
unavyo vipenda. Unatakiwa kula kachumbari hii hadi Ushibe kabisa, Ikiwa njaa
itawahi sana kukuuma baada kula kachumbari yako basi unaweza kula chakula
kingine ulichokizoea.
Wakati
unafuata utaratibu huo wa kula huruhusiwi kabisa kula vitu vifuatavyo.
·
Vyakula
ambavyo hujapika wewe au mtu unayemuamini mfano usile kwa mama ntilie,
migahawani, hotel na sehemu nyinginezo kama hizo.
·
Usile
vyakula kutoka kiwandani kama soda, juice, bia, mikate, maandazi, chapati, biscuit,
na vingine vingi vinavyotenenzwa viwandani.
·
Usile vyakula vyote vitokanavyo wanyama au maziwa
·
Usitumie
dawa za kutuliza maumivu, dawa za presha, au sukari
·
Usile
chakula baada ya saa 2 usiku.
·
Usile
virutubisho
·
Usitumie
sukari au glucose.
Ikiwa
bado hujaelewa utaratibu huu unaweza kuwasiliana nami kwa +255676298270 kwa
Maelekezo zaidi.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku