Matatizo ya moyo yamekuwa yakiongezekana sana siku hizi kutokana na katumizi mengi ya bidhaa zinazotengenezwa viwandani, matumizi ya vyakula vyenye kemikali za sumu. Njia rahisi ya kurekebisha tatizo hili ni kujitahidi kula vyakula vya asili na kujiepusha na bidhaa za viwandani kwa kadri tuwezavyo. Ikiwa moyo ni tatizo
likusumbua basi dawa yake ni
MAHITAJI:
Majani ya pasheni(Passion leaves)
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Twanga majani hayo na uyaloweke, mgonjwa anywe kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku 21 mpaka 30. Ikiwa kupata majani ni vigumu basi twanga majani hayo na uyaanike kisha mgonjwa awe anatumia kijiko kile kidogo anaweka kwenye maji ya moto kabisa kikombe cha chai akoroge vizuri aache ipoe afu anywe… anatakiwa
kunywa kutwa mara 2 kwa siku 21 hadi 30. Kwa uwezo wa Mungu tatizo lako litakwisha kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku