Lehemu au Cholesterol ni aina ya mafuta kama nta ambayo huwa kwenye damu ikizunguka sehemu mbalimbali mwilini. Ni sehemu muhimu ya kuta za seli za mwili, homoni za mifumo ya uzazi, kuta za mishipa ya fahamu na Vitamin D. Kwa hiyo ukisikia lehemu au
cholesterol usifikirie kuwa ni kitu kibaya hapana ni kitu muhimu kwa afya ila mafuta haya hayatakiwi kuzidi, ikitokea yamezidi hapo sasa ndio huleta madhara.Pia napenda ufahamu kuwa 75% ya lehemu iyopo ndani ya miili yetu hutengenezwa kwenye ini na 25% ndio
huletwa na vyakula mbalimbali vyabmafuta. Sasa ikiwa umeambiwa
una tatizo la cholesterol kuzidi usichanganyikiwe ukafikiri ndio unakufa ni kawaida cha msingi unatakiwa ujitahidi kupunguza mwili wako, kula vyakula vingi vya asili, kuacha kuvuta sigara, usinywe pombe, fanya mazoezi kidogo utokwe jasho.
Endapo umependa mada hii na unapenda kujua jinsi ya kujitibia maradhi tofauti tofauti ukiwa nyumbani, unaweza kupata kitabu chetu ambacho tumeelezea jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 60. Kitabu hicho ni soft copy (digital book) na unaweza kukipata kupitia whatsapp au email yako kwa shilingi 5000/- tu. Wasiliana nasi kupitia 0676 298 270. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi kwa Msuguri - Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku