Siku hizi kumekuwa na changamoto kwa wanaume wengi sana kukosa hamu ya tendo la ndoa, mara nyingi tatizo hili huwakumba wanawake lakini miaka ya hivi karibuni tatizo hili limejitokeza kwa kiasi kikubwa kwa wanaume pia na wengine hamu huja lakini akikutana na mpenzi wake na kumaliza mzunguko mmoja tuu basi hamu inaisha kabisa na kujikuta akishindwa kuendelea na mzunguko mwingine. Hii hutokana na mambo mbalimbali kama vile kujichua, ulaji mbovu wa vyakula (kula vyakula vya mafuta mafuta sana), kuvaa nguo zinazobana maumbile na kadharika. Leo ningependa kuelezea dawa rahisi ambayo ina uwezo mkubwa wa kumaliza tatizo hilo ukiwa hapo hapo nyumbani.
Wengi wetu tunaifahamu asali lakini ni wachache sana wanaojua jinsi asali inavyoweza kutumika na kutibu maradhi au matatizo mbali mbali yanayotusumbua. Naweza kusema kuwa asali ni suluhisho bora sana katika kutibu mfumo wa uzazi wa mwanaume. Asali hupelekea korodani kutengeneza mbegu nyingi zaidi (elewa kuwa mwanaume anapokuwa na mbegu nyingi zaidi basi anakuwa na ashiki kubwa zaidi ya kufanya mapenzi) ndiyo maana makasisi wa baadhi ya dini walipigwa marufuku kutumia asali kwani ingewafanya kuwa na ashiki ya kufanya mapenzi na mwisho wa siku wangejikuta wamevunja miiko ya kazi yao. Unachotakiwa kukifanya ni kunywa vijiko viwili vya asali kila siku asubuhi na vijiko viwili tena wakati wa kwenda kulala. Wakati unafanya hivyo tafadhali usishiriki mapenzi kwa wiki hiyo moja ili kuacha korodani ziweze kutengeneza na kukomaza mbegu nyingi zaidi. Naamini baada ya wiki moja tatizo lako la kukosa hamu ya mapenzi litakuwa limekwisha kabisa kwa uwezo wa Mungu.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku