Mara nyingi endapo mwanamke akiwa na uvimbe kwenye kizazi hupelekea mwanamke huyo kutokuwa na uwezo wa kushika ujauzito, na hata ikitokea kashika ujauzito basi bado kunakuwa na uwezekano mdogo wa kuja kujifungua salama au kuja kupata mtoto mwenye afya. Tatizo hili husababishwa na sababu mbalimbali kama vile utumiaji wa njia za uzazi wa mpango, maradhi ya muda mrefu, ulaji mbovu wa chakula. Lakini kwa bahati nzuri tatizo hili linatibika na siyo lazima kuwa ni mpaka ufanyiwe upasuaji, kuna dawa za asili (medicinal plants) ambayo ina uwezo wa kuondoa kabisa uvimbe ulioko ndani ya kizazi.
Juice ya kiazi sukari (Beet roots juice)
Dawa hii ni nzuri sana kwa
kuondoa uvimbe kwenye
kizazi kwa wanawake wa
umri wowote, Unachotakiwa
ni kuhakikisha unachukua
vitu ambavyo vipo katika hali
nzuri. Sio vilivyoharibika au
Kuoza. Ili kuandaa juisi ya kuondoa uvimbe, saga kiasi kidogo cha viazi sukari freshi na uchanganye pamoja na kijiko kidogo cha chai kimoja cha unga wa kitunguu swaumu.
Changanya mchanganyiko huo vizuri na uongeze kikombe kimoja cha juisi freshi ya karoti, ongeza kijiko kimoja kidogo cha asali, tikisa vizuri na unywe mchanganyiko huu mara kwa mara mpaka utakapopona.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku