Tatizo la fangasi kwa wanawake linakera sana kwa kweli mwanamke anakuwa anatokwa na uchafu wenye harufu mbaya hadi inapelekea mtoto wa kike anaona haya kukaa mbele za watu au
hata kushiriki tendo la ndoa. Ikiwa na wewe ni mmoja wa watu wanaosumbuliwa na tatizo hili basi andaa dawa hii
MAHITAJI:
i. Kitunguu saumu
ii. Maziwa ya mtindi (maziwa yaliyoganda)
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua punje 6 za kitunguu saumu zitwange vizuri kisha weka kwenye maziwa ya mtindi koroga vizuri halafu kunywa asubuhi na jioni ukisha kunywa chukua kiasi kidogo cha mchanganyiko huo pakaza ndani ya uke wako, unaweza kupakaza usiku wakati wa kulala.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku