Tatizo la macho limekuwa limekuwa likisumbua watu wengi sana kitu kinachopelekea wengi kuvaa miwani kwa lazima. Napenda nikujuze dawa rahisi sana ya kujitibia tatizo lolote la macho ndani ya siku 14 hata kama unavaa miwani utaacha.
MAHITAJI:
i. Vifuu vya nazi
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Choma vifuu hivyo kisha twanga twanga upate unga wake, weka kijiko kimoja cha chai kwenye maji ya vuguvugu kisha kunywa, fanya hivo kutwa mara 3 kwa siku 14. Unatakiwa kunywa nusu saa
au zaidi kabla ya kula. Ni dawa nzuri sana kwa matatizo yote ya
macho.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku