Wanawake wamekuwa wakikumbwa na changamoto ya kuwa na maziwa yaliyolala sana kitu kinachowapunguzia uhuru na kujiamini na wengi wamekuwa wakitafuta njia rahisi ya asili ya kuondoa tatizo hilo bila kupata madhara yoyote. Leo napenda nikupe njia rahisi na salama kabisa ya kuondoa changamoto hiyo
MAHITAJI:
(i.) Papai changa kabisa
(ii.) Mafuta ya zaituni(Olive oil)
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Katakata papai lako vipande vidogo vidogo kisha lichemshe kwenye mafuta yako ya zaituni kwa dakika 7 hadi 10 katika moto mdogo baada ya hapo acha yapoe na uyachuje vizuri. Unaweza kuweka vitamin E ili yaweze kukaa muda mrefu bila kuharibika. Vitamini E hupatikani kwenye maduka ya dawa za binadamu. Unatakiwa kujipaka mafuta haya kutoka chini kuelekea kwenye chuchu, fanya hivo kutwa mara mbili kwa siku 14 utaona matokeo bora kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku