Wanawake wengi siku hizi wamekuwa wanakabiliwa na changamoto ya maziwa kutotoka mara baada ya kujifungua kitu kinachopelekea mtoto kudhoofika kwa kukosa maziwa ya kutosha. Ili kutatua changamoto hiyo unahitaji kufanya hivi
MAHITAJI:
(i.) Unga wa uwatu vijiko viwili
(ii.) Unga wa ngano vijiko viwili
(iii.) Sukari kijiko kimoja
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Changanya uwatu, unga wa ngano na sukari kwa pamoja kisha weka maji ya moto na ukoroge vizuri hadi uwe uji mzuri kisha mama huyu anaenyonyesha anatakiwa kunywa uji huo kutwa mara
3, endelea kunywa uji huo hadi pale utakapoona maziwa yanatoka ya kutosha.Ikiwa sehemu ulipo huwezi kupata uwatu basi nunua pilipili manga
na uwe unaweka kwenye uji wako zitakusaidia haraka pia.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku