Tatizo la uvimbe kwenye kizazi ni tatizo linalokuwa kwa haraka
sana hivi sana kutokana na mfumo mbovu wa maisha, matumizi ya
vipodozi vyenye kemikali, matumizi ya bidhaa za viwandani, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, na mambo mengine mengi vitu hivyo vinaathiri mfumo wa homoni na matokeo yake ni tatizo hili la uvimbe kwenye kizazi. Ili kutengeneza dawa hiyo unahitaji
MAHITAJI:
(i.) Mizizi ya mpera
(ii.) Mizizi ya Aloe vera
(iii.)Mizizi ya muembe
(iv.) Mizizi ya mbaazi
(v.) Mzizi ya ndulele
(vi.) Magombe ya muembe pori
(vii.)Mzizi ya mgomba
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Twanga mizizi yote kwa pamoja kisha ichemshe kwenye lita 6 za
maji, iache ichemke kwa dakika 30 kisha epua na uiache ipoe kabisa. Mgonjwa anatakiwa kunywa nusu kikombe cha chai kutwa mara 2 kwa siku 25. Wakati anaendelea na dozi hiyo mgonjwa anatakiwa kufuata utaratibu wa kula kama nilivoelekeza kwenye sura ya kwanza ya kitabu hiki. Pia achana na njia za uzazi wa mpango za kisasa bali tumia njia za kienyeji zisizo na madhara yoyote ili uwe salama kabisa.
Endapo ukashindwa kuiandaa dawa hii hapo hapo nyumbani kutokana na upatikanaji wa vitu hivyo, waweza fika ofisini kwetu Mbezi Kwa Msuguri Dar es salaam au waweza wasiliana nasi kwa simu namba 0676 298 270 uweze kufikishiwa dawa hii iliyoandaliwa tayari mahala popote pale ulipo, tunaamini kwa uwezo wa Mungu tatizo lako litakwenda kuisha kabisa na uvimbe wako utakwenda kuisha moja kwa moja.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku