Tatizo la michirizi kwenye ngozi linasababishwa na mambo mengi kama unene uliopitiliza, baada ya kujifungua, kupungua ghafla,
matumizi ya vipodozi vyenye kemikali na mengine mengi.
MAHITAJI:
(i.) Mafuta ya nazi
(ii.) Kitunguu maji
(iii.) Sukari
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Kata kitunguu chako vipande viwili kisha chukua kipande kimoja na ukisage kiwe uji kisha changanya na sukari. Kisha chukua kile kipande kingine cha kitunguu na uchovye kwenye mchanganyiko
huo wa kitunguu na sukari na ufikichie sehemu yenye tatizo hilo
la michirizi fanya zoezi hilo kwa dakika 5 hadi kumi kisha acha
sehemu hizo zikauke baada ya kukauka osha na maji ya kawaida
kisha paka mafuta ya nazi. Fanya zoezi hili kila siku mara moja hadi
utakapopata matokeo mazuri unaweza kutumia hadi siku 21.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE Bonyeza hapo kuitazama https://toptenherbs.co.tz/
https://toptenherbs.co.tz/
https://toptenherbs.co.tz/
https://toptenherbs.co.tz/
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku