Tatizo hili husababishwa na mambo mengi ikiwemo mfumo mbovu wa mmeng’enyo wa chakula. Na ulaji mkubwa wa vyakula vya viwandani. Njia rahisi ya kujitibia tatizo hili ni kuchukua mbegu za nyonyo punje 3 au 4 kisha ziponde ponde na umeze kwa maji. Wakati wa kufanya zoezi hili lazima uwe nyumbani tu maana husababisha kuharisha kwa muda fulani. Baada ya kumaliza zoezi hilo basi endelea kula mapapai kwa wingi angalau kwa siku tatu Mfululizo utaona tatizo hilo limekwisha kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku