Tatizo la kutoa harufu mbaya kinywani humfanya mtu kukosha uhuru pindi anapokuwa karibu na watu, jambo ambalo hupelekea wengi kukosa amani kabisa na kutamani wa peke yao muda mrefu. Njia rahisi ya kuondoa tatizo hilo ni kutafuna karafuu mara kwa mara au chukua nusu kijiko cha unga wa karafuu weka kwenye maji ya vuguvugu kisha kunywa fanya hivo kutwa mara mbili kwa siku tano mpaka saba, kwa uwezo wa Mungu tatizo lako litakwisha kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku