Nafikiri hii itakuwa ni habari njema sana kwa watu wote wanateseka na matatizo ya figo, hata kama umeteseka kwa kiasi gani nataka leo utabasamu tena,Hata kama umesumbuka na tatizo hili kwa muda gani naomba uamini kuwa Mungu wa mbinguni anakwenda kukuinua tena. Njia rahisi, salama na nafuu ya kujitibia tatizo hili ni hii hapa.
MAHITAJI:
(i.) Unga wa ubuyu 1kg
(ii.)Unga wa manjano 1kg
(iii.) Asali mbichi.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Changanya ubuyu na manjano upate mchanganyiko wa pamoja kisha chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huo weka kwenye maji ya vuguvugu nusu lita koroga vizuri kisha weka asali
vijiko vikubwa viwili, koroga tena vizuri afu mpe mgonjwa anywe juisi hiyo yote asubuhi kabla ya kula kitu na jioni kabla ya kula chakula. Wakati unaende-
lea na tiba hii hurusiwi kutumia dawa za kutuliza maumivu, dawa za presha, sukari au ARVs. Fuata utaratibu huu kwa miezi sita mfululizo kwa uwezo wa Mungu utakuwa umepona kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku