Degedege ni ugonjwa unaosumbua sana watoto chini ya miaka mitano husababisha watoto kuweweseka, kulia usiku, kutafuna meno wanapokuwa wamelala, kushtuka shtuka, kuharisha povu kama la sabuni na mambo mengine kadhaa.
MAHITAJI:
(i.) Kitunguu saumu
(ii.) Majani ya mbaazi
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Twanga vyote kwa pamoja na uviloweke kwenye maji kidogo kisha mnyweshe mtoto wako vijiko vinne vya chakula kwa siku 4 mfululizo kisha rudi tena kila baada ya wiki 3. Ikiwa degedege yake ni
kubwa mnyweshe na kumpaka kitunguu saumu mwili mzima baada ya kumuogesha utaona mtoto ametulia kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Kitunguu saumu si kinaunguza vp ukimpaka mtoto hatazurika ngoz au kuungua?
ReplyDeleteNi fanye nini kama degedege inamtokea mtoto mara kwa mara?
ReplyDelete