Vidonda vya tumbo ni miongoni mwa magonjwa ya mfumo wa
mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu. Hivi ni vidonda ambavyo vinapatikana ndani ya tumbo la binadamu na huwapata sanasana watu wazima kuliko watoto wadogo. Mara nyingi tatizo hili husababishwa na kutokula kwa wakati unaostahili na msongo wa mawazo. Sasa ili kuweza kujitibia tatizo hili ukiwa nyumbani unahitaji kuandaa
MAHITAJI:
(i.) Unga wa manjano
(ii.) Asali
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua maji ya vuguvugu kikombe kimoja cha chai kisha chukua
kijiko cha chai cha unga wa manjano weka kwenye maji hayo na ukoroge vizuri kisha weka kijiko kimoja kikubwa cha asali kwenye
mchanganyiko wako huo koroga tena na mgonjwa anywe kikombe
kimoja asubuhi, kingine mchana na kingine jioni. Tumia dawa hii
kwa wiki tatu hadi mwezi kwa uwezo wa Mungu utakuwa umepona.
Endapo umependa mada hii na unapenda kujua jinsi ya kujitibia maradhi tofauti tofauti ukiwa nyumbani, unaweza kupata kitabu chetu ambacho tumeelezea jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 60. Kitabu hicho ni soft copy (digital book) na unaweza kukipata kupitia whatsapp au email yako kwa shilingi 5000/- tu. Wasiliana nasi kupitia 0676 298 270. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi kwa Msuguri - Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku