Kabla sijazungumzia tiba ya tezi dume napenda kwanza ufahamu japo kwa ufupi tezi dume ni nini? Maana wengi wetu tukisikia neno hilo huwa tunafikiria ni ugonjwa kitu ambacho sio ukweli hata kidogo. Ukisikia tezi dume naomba ufahamu kuwa ni kiungo kwenye mwili wa mwanaume kinachofanya kazi ya kutengeneza shahawa (yale maji maji ambayo mwanaume huwa anayatoa anaposhiriki tendo la ndoa). Ndani ya yale maji ndio huwa kuna mbegu za kiume ambazo huwa zinaitwa manii (Sperms). Hivyo ni kiungo chenye kazi muhimu kabisa kwa mwanaume, sasa nafikiri utapenda kufahamu inakuwaje linakuja tatizo la tezi dume, ni pale ambapo kiungo hiki
huwa kinavimba na kuna wakati kikishavimba ndio kansa huanza
kujengeka kwenye huo uvimbe ndipo hapo kansa ya tezi dume inapokuwa. Hiyvo naomba ufahamu kuwa kuvimba kwa tezi dume na kansa ya tezi dume ni vitu viwili tofauti japo vyote viwili vinaweza kutibiwa na dawa hii nitakayokuelekeza leo. Lakini napenda ufahamu mara nyingi tatizo hili la kuvimba kwa tezi dume hutokea ikiwa mwanaume unakuwa mvivu kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara. Kikawaida mwanaume anatakiwa kupiga angalau bao 21 kwa mwezi ili uwe na afya njema, sasa ukiwa mzembe ndio unakaribisha tatizo hili la tezi dume. Twende kwenye matibabu yake.
MAHITAJI:
Majani ya mstafeli au unga wa majani hayo
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua majani mabichi 10 au kijiko kikubwa kimoja cha unga wa majani hayo ya mstafeli na uchemshe kwenye maji nusu lita kwa dakika 7 hadi 10, epua na uache ipoe kabisa kisha chuja upate maji yake. Mgonjwa anywe kikombe kimoja cha chai kutwa mara 2 kwa siku 30 hadi 60. Lakini kumbuka kuwa sababu kubwa ya kwanza inapelekea tatizo hili ni uvivu wa kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara.
Endapo umependa mada hii na unapenda kujua jinsi ya kujitibia maradhi tofauti tofauti ukiwa nyumbani, unaweza kupata kitabu chetu ambacho tumeelezea jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 60. Kitabu hicho ni soft copy (digital book) na unaweza kukipata kupitia whatsapp au email yako kwa shilingi 5000/- tu. Wasiliana nasi kupitia 0676 298 270. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi kwa Msuguri - Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.
Kuna Tina ya kibofa?
ReplyDelete