MAHITAJI:
Majani ya mbaazi
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua majani kidogo ya mbaazi na uyatwange kisha kamulia
maji yake kwenye sikio linalouma au kutoa usaha fanya hivo kutwa
mara 2 kwa siku 3. Kwa uwezo wa Mungu tatizo lako litakwisha
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku