Mkanda wa jeshi(Shingles) ni jina linalotumika sana mitaani kuutaja
ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa vyenye majimaji ambavyo mara nyingi hutokea upande mmoja wa mwili. Ingawa vipele hivi huweza kutokea sehemu yoyote ya mwili lakini mara nyingi hutokea kifuani, shingoni, usoni, mgongoni na mikononi. Tatizo hili mara nyingi huwapata watu wenye umri mkubwa na watu wanaosumbuliwa na matatizo yanayopunguza kinga mwili. Nafikiri tumeelewana vizuri sasa twende kwenye Matibabu yake.
MAHITAJI:
Ua la ndizi
MATAUARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Katakata ua hilo na ulichome upate majivu yake kisha changanya majivu hayo na mafuta ya kupaka. Mgonjwa ajipakaze dawa hiyo kwenye sehemu zote alizoungua, anaweza kupaka kutwa mara 2 au hata zaidi na atumie dawa hii kwa muda wa siku 5 hadi 7. Kama nilivokuelekeza awali kuwa tatizo hili hutokea kwa sababu ya kushuka kwa kinga mwili hivo ni vizuri mgonjwa akatumia dawa ya kuongeza CD4 kama nilivoekekeza katika posts zilizotangulia.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku