MAHITAJI:
(i.) Unga wa mdalasini vijiko vitano vya chai
(ii.) Unga wa karafuu vijiko vitano vya chai
(iii.) Unga wa pilipili manga vijiko viwili vya chai.
(iv.) Asali 250 mls (robo Lita).
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Changanya vitu vyote nilivyokutajia hapo juu na ukoroge vizuri kabisa. Halafu pigia mswaki dawa hiyo kutwa mara 2, ikiwa meno yako ni mabovu sana basi mchanganyiko huu ndio uwe dawa yako ya meno. Ikiwa jino lako limetoboka basi chukua dawa hii na uiweke kwenye tundu hilo. Kwa uwezo wa Mungu tatizo lako litakwisha kabisa.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku