Malaria ni ugonjwa ambao umezoeleka sana kwenye masikio yetu kiasi kwamba huwa tunahisi hauna nguvu yoyote japokuwa takwimu zinaonesha kuwa watu wengi hupoteza maisha yao kwa sababu ya ugonjwa huu kila mwaka. Nafikiri sina haja ya kuuelezea sana kwa sababu unajulikana twende moja kwa moja kwenye jinsi ya kujitibia.
MAHITAJI:
Majani ya mpapai
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Katakata majani ya mpapai na uyachemshe kwenye maji lita 2 na
nusu, yaache yachemke kwa dakika 10 hadi 15 kisha epua na uache yapoe kabisa chuja upate maji tu. Mgonjwa anywe kikombe kimoja cha chai kutwa mara 3 kwa siku 3. Ikiwa sehemu ulipo hakuna mpapai unaweza kutumia majani ya muarobaini au aloe vera.
Endapo umependa mada hii na unapenda kujua jinsi ya kujitibia maradhi tofauti tofauti ukiwa nyumbani, unaweza kupata kitabu chetu ambacho tumeelezea jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 60. Kitabu hicho ni soft copy (digital book) na unaweza kukipata kupitia whatsapp au email yako kwa shilingi 5000/- tu. Wasiliana nasi kupitia 0676 298 270. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi kwa Msuguri - Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.
Mimi nipo mbali na dsm Nina shidah nahicho kitabu,je' nitakipataje kitabi
ReplyDelete