MAHITAJI:
(i.) Punje sita (6) za kitunguu saumu cha kienyeji
(ii.) Maji glass moja (1)
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua punje zako sita za kitunguu saumu zimenye kisha zikatekate vipande vidogo vidogo kisha ziache wazi kwa dakika zisizopungua 10. Meza vipande vyote kwa maji kama unavyomeza dawa za hospitali tu, kisha lala usingizi. Ukiamka maumivu yote yatakuwa yamekwisha kwa uwezo wa Mungu. Ikiwa tatizo lako ni la muda mrefu basi meza vitunguu saumu hivo kila siku kabla ya kulala kwa siku 10 mfululizo.
Endapo umependa mada hii na unapenda kujua jinsi ya kujitibia maradhi tofauti tofauti ukiwa nyumbani, unaweza kupata kitabu chetu ambacho tumeelezea jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 60. Kitabu hicho ni soft copy (digital book) na unaweza kukipata kupitia whatsapp au email yako kwa shilingi 5000/- tu. Wasiliana nasi kupitia 0676 298 270. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi kwa Msuguri - Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku