Mahitaji:
Ndevu laini za mahindi.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua ndevu za mahindi za kutosha, chemsha katika maji ya lita tatu na nusu kwa dakika 15 acha ipoe kisha ichuje. Kunywa kikombe kimoja asubuhi na kingine jioni kila siku, kwa
muda wa siku 5. Kwa uwezo wa Mungu tatizo lako litakwisha.
Endapo umependa mada hii na unapenda kujua jinsi ya kujitibia maradhi tofauti tofauti ukiwa nyumbani, unaweza kupata kitabu chetu ambacho tumeelezea jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 60. Kitabu hicho ni soft copy (digital book) na unaweza kukipata kupitia whatsapp au email yako kwa shilingi 5000/- tu. Wasiliana nasi kupitia 0676 298 270. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi kwa Msuguri - Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku