Kwa mwanamke yeyote aliyekamilika vizuri kupata hedhi ni jambo la lazima, ila siku hizi kumekuwa na changamoto nyingi sana kuhusu hedhi, kuna baadhi ya wanawake hawapati kabisa hedhi
kwa miezi kadhaa, wengine wanapata lakini sio kwa mpangilio
maalumu yaani inajitokea tu inavyotaka yenyewe na wengine ndio wapata mara nyingi sana kwa mwezi kitu ambacho sio kawaida.
Ikiwa unakabiliwa na shida yoyote kuhusu hedhi yako basi dawa hii
ninayokufundisha hapa leo ndio kiboko yake.
MAHITAJI:
Mizizi ya mpera
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chemsha mizizi hiyo kwenye maji ya lita moja na nusu kwa dakika
15 kisha epua na uache ipoe. Mgonjwa anywe nusu kikombe cha chai kutwa mara 2 kwa muda wa siku 3 hadi 5. Kisha arudi zoezi hili baada ya wiki 2 atakuwa amepona.
Mara nyingi matatizo haya ya hedhi husababishwa na matumizi ya njia za uzazi wa mpango za kisasa, matumizi ya vipodozi vyenye ziambata vya sumu, ulaji mkubwa wa bidhaa za viwandani na mengine mengi. Jitahidi sana kuyaepuka mambo haya ili uwe salama mwenye afya njema siku zote za maisha yako.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku