CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.
Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja
peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation Disorder (O.D).
CHANZO CHA TATIZO:
Mara nyingi chango la uzazi huwa inatokana na vifuko vya mayai ya
uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka. Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na kama zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka. Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa au hata yakikomaa
yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu za uzazi za kiume kwa ajili ya kurutubishwa.
MAHITAJI:
Majani ya mzugwa/mvuga.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua majani ya mvuga au mzungwa chemsha kwa dakika 10
acha yapoe kisha chuja. Mgonjwa anatakiwa kunywa nusu kikombe kutwa mara 3 kwa siku
5 hadi 7. Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, Ni dawa ambayo imetumika kwa miongo mingi sana kutibia matatizo mbalimbali ya wanawake. Imethibitika kuwa na uwezo wa:
(i.) Kusafisha kizazi.
(ii.) Kuzibua mirija ya uzazi
(iii.) Inatibu kabisa matatizo ya chango la uzazi
(iv.) Inapevusha haraka mayai hivo kupelekea mwanamke kuwahi kupata mimba.
(v.) Inarekebisha mfumo wa homoni wa mwanamke
(vi.) Inarekebisha mfumo wa hedhi na kutibia maumivu makali
wakati wa hedhi.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Ahsante
ReplyDeleteAsantee kwa somo doc,kwahiyo hayo majani ukitumia inachkua muda gani kupona.. asante
DeleteAhsante
ReplyDeleteHiyo dawa inatumia mda gan kupona ahsante
ReplyDelete