Huimarisha msukumo wa damu,
Hudhibiti glucose kwa wenye sukari,
Huondoa mashaka na wasiwasi,
Huongeza kinga na nguvu mwilini,
Hutibu kuhara na kuhara damu, Huondoa uvimbe kwenye utumbo mwembamba, na
Huondoa vimbe
nyingine mwilini,
Huongeza kasi
ya utoaji mkojo,
Huondoa matatizo
mbalimbali ya moyo.
Hutibu
homa na kikohoza
Unga wa mlonge hutengenezwa kutokana na majani bora ya mti wa mlonge, tumia kijiko cha chai 2 mara 3, kwa wiki 3.
MBEGU
ZA MLONGE (MORINGA SEEDS)
Huondoa
vipele kwenye ngozi
Huondoa
shinikizo la damu
Huondoa
saratani ya tumbo
Huondoa
homa za mara kwa mara
Hutibu
maralia
Hupunguza
vitambi , kwa wanawake na wanaume
Huondoa
mawe kwenye kibofu cha mkojo
Huongeza
nguvu za kiume na za kike
Huongeza
uwezo wa kumbukumbu
Hupunguza
hasira
Hupunguza
tatizo la mafua
Mbegu nazo huchumwa kutoka katika mti bora wa mloge
MAFUTA
YA KUPAKAA YA MLONGE
Hulainisha
ngozi
Huondoa
uchovu
Hutumika
kwa wanawake na wanaume kujipaka
Huondoa
mabaka na mibabuko
Huondoa
ukurutu na magamba mwilini
Huondoa
harufu mbaya sehemu za siri
Hunawirisha
mwili.
Magonjwa mengine unayoweza kupona kwa kutumia
mafuta ya mbegu za mlonge ni pamoja na:
1. Upungufu wa damu (anaemia)
2. Maumivu kwenye maungio (joints pain)
3. Pumu (asthma)
4. Saratani mbalimbali
5. Kufunga choo
6. Kuharisha
7. Kifafa
8. Kisukari
9. Matatizo ya moyo
10. Maumivu ya kichwa
11. Vidonda vya tumbo
12. Mawe kwenye figo
Kujitibu maambukizi kwenye via vya uzazi vya
mwanamke yaani P.I.D kunywa kijiko kidogo cha chai cha mafuta ya mlonge kutwa
mara moja na unaweza kuongeza mpaka kutwa mara 2 kutegemea na mwili wako
unavyoitika kwa dawa.
MIZIZI YA MLONGE
Chukua
kilo 1 ya mizizi, chemsha ndani ya lita 2 za maji, chuja vizuri. Tumia glass 1
kutwa mara 3. kwa kuimarisha afya na kinga mwilini kwa siku 10
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Mm kuna matunda ambyo sija yajua kama aya (1) Blueberry (2)mtini figs (3)Chaza kombe wabichi rawoysters ayo ndio matunda ambayo siyajuwi
ReplyDelete