Hutengenezwa
kama juisi au kutafunwa bila kupikwa. Osha vizuri na kula na maganda, ukiondoa
maganda siyo mbaya sana pia.
TIBA YAKE
Hutibu magonjwa ya saratani
Vidonda
vya tumbo
Magonjwa
ya ngozi
Majipu
Hutumiwa
kwa urembo wa ngozi (sugua uso kwa kipande cha tango au osha uso kwa juisi
yake)
Huondoa
uric-acid katika mwili unapolia
Inasafisha
na kutibu utumbo mwembamba
Inazuia
na kutibu magonjwa ya ini na figo na figo.
Juisi
yake inasaidia mwili kufanya vizuri.
NB: Vitamini
na madini mengi, vipo kwenye maganda. Hivyo unapotumia, usitoe maganda ingawa
mengine ni machungu kidogo.
Watu wenye mikono yenye michubuko, watumie matango kwa kupaka mikono na mwili wote . weka katika beseni , osha uso na mwili wote
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku