Unaweza kupata kutoka kwenye mti wa mkuyu, kifuu cha nazi, msonobari na mkaratusi (eucalyptus). Na unatibu magonjwa yafuatayo:-
Kuumwa
na nyoka
Kiungulia
Kusaga
chakula
Uvimbe
Kutapika
Kuhara
damu, kuharisha
Vidonda
vya tumbo
Macho
Kunywa
sumu
Tindikali
MATAYARISHO
Choma
kifuu cha nazi hadi kiwe mkaa, saga uwe unga, Kama ni mti, tumia magome yake.
Chukua kijiko 1 kikubwa cha mkaa (unga) changanya na maji safi ya kunywa ya
uvuguvugu uwe kama uji uji, Kunywa kikombe kimoja cha mchanganyiko huo kabla ya
kula.
KUUMWA NA NYOKA
Shona kifuko cha kitambaa cheupe, chota mkaa kijiko kikubwa, weka ndani ya kifuko na maji kidogo, funga sehemu iliyoumwa, kisha fungua baada ya saa1, fungia nyingine hadi ufikapo hospitalini.
Pia endelea kumpa ya dawa hiyo hiyo ya kunywa, iliyokorogwa na kuwa kama uji mzito baada ya saa1 ufikapo hospitalini sumu yaweza kuwa imekwisha .
Pia kwa mtu aliyekunywa sumu:- tumia njia hiyo ya kunywa. Inafaa kuwa na dawa hii nyumbani mwako kila wakati.
MACHO
Weka katika kifuko cha kitambaa kama hapo juu, fungia au weka kwenye jicho. Funga kwa siku 3 mfululizo wakati wa usiku.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Sisi tunaosumbuliwa na tindikali je inakuwaje
ReplyDeleteTunaomba mawasiliano yenu
ReplyDelete