Kitunguu
swaumu chaweza kutibu magonjwa mengi ikiwa mgonjwa atafuata maelekezo vizuri.
katakata kitunguu swaumu saizi ya vidonge kasha umeze kwa kutumia maziwa ya
moto.
KITUNGUU
SWAUMU HUTIBU MAGONJWA YAFUATAYO
BRONHITIS (MKAMBA):
Ugonjwa wa kifua au mkamba ni mwambukizo wa mifereji inayoingiza hewa mapafuni, hii husababisha kikohozi chenye sauti mara kwa mara ikiambatana na kutoa makohozi mazito.
DIARHOHEA (KUHARA):
Ugonjwa wa hatari wa kuharisha dalili zake ni kupata choo chenye maji maji zaidi ya mara 6 katika masaa 12
HARDENNING OF HARTERIES:
Tatizo
katika mishipa ya damu inayochukua hewa safi, mishipa hiyo ambayo huwa miepesi
na laini huwa migumu na kushindwa kufanya kazi yake na kuhatarisha maisha ya
muhusika.
INTESTINAL
PARASITE
Hawa ni wadudu wadogo wadogo ambao hujificha ndani ya utumbo mdogo tene ni wakubwa kuliko backteria.
HAEMORRHOIDS/ PILE (BAWASIRI):
Nimishipa ya damu inayovimba na kukunjamana na kujitokeza katika njia ya haja kubwa, husababisha maumivu makali wengine huuita kutoka mgongo.
VARICOSIS
/ VARICOSE VEIN (MISHIPA YA DAMU ILIYOVIMBA)
Hii ni mishipa ya damu iliyovimba, hukunjana na kuuma sana. Mara nyingi huonakana katika miguu ya watu wa makamo na akina mama wajawazito na waliuokwasha zaa watoto wengi.
KIDNEY DISEASES (MAGONJWA YA FIGO):
Kuna matatizo mengi ya figo na njia ya mkojo, mara nyingi si rahisi kuyatofautisha. Dalii :- Maumivu katikati ya mgongo au kiuno, ambayo yanaenea mpaka sehemu ya juu ya tumbo na chini ya mbavu, Dalili nyingine ni damu kwenye mkojo na uvimbe utosini.
OBESITY
(UNENE ULIOPITILIZA)
Ni
unene unaopita kipimo, mara nyingi husababisha matatizo mengi kama vili ugonjwa
wa moyo, ugonjwa wa figo na mshuko (stroke). Watu wanene ndio hasa wanaweza
kuwa na blood pressure
PIMPLES
(CHUNUSI)
Ni
viuvimbe vidogo vidogo vilivyo na ncha nyeupe ya usaha, au ncha nyeupe ya
uchafu. Mara nyingi vinaweza kuuma au kutanuka.
HYSTERIA:
Ugonjwa wa kuweweseka upweke, husababisha chembe Fulani ya ubongo kutodaka mambo kadhaa ya lazima kwake . ugonjwa huu huwapata wanawake na hasa wasichana katika shule zisizo za mchanganyiko.
SKIN
DISEASES (MAGONJWA YA NGOZI)
Ni magonjwa mbalimbali ya ngozi kama vile:
-IMPERTIGO
CONTAGIOSA (mzio wa ngozi)
-BAKAMBA
SHINGLES / HERPES ZOSTER
CUSTO
/ FEAR (WOGA)
Mtu mwenye custo huwa na woga wasi wasi mwingi na ni mwoga, na mtu huyu anaweza kuanza kutetemeka, tabia isiyo ya kawaida, kukondeana na mwisho kufa.
RHEUMATIC
(UGONJWA WA KUKAKAMAA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI):
Kuna aina 3 za ugonjwa huu:-
1.Rheumatic
ya mifupa
2.
Rheumatic ya misuli
3.
Rheumatic ya viungo
MUSCLES INFLAMATION:
Shida katika misuli.
CONSTIPATION (KUFUNGA CHOO):
Mtu ambaye hapati choo kwa muda wa siku 2 au zaidi. Anashauliwa kutumia kitunguu swaumu.
TYPHOID FEVER (HOMA YA MATUMBO)
Hii ni homa inayoambukiza utumbo na kusababisha maumivu makali mwili mzima. Dalili zake ni sawa na zile za malaria.
MATATIZO
YA INI
Mtu
hukosa kabisa hamu ya kula, hapendi kula, hutaka kutapika, macho na ngozi
hubadilika rangi na kuwa ya njano, choo huwa cheupe.
HOARSE
VOICE / LARYNGITIS:
Sauti kutotoka sawa sawa, au kutoa sauti ya mikwaruzo.
Kutokana
au ugonjwa wa kifuko cha sauti
NEUROSIS
Shida katika mishipa ya fahamu
METABOLIC DISORDERS:
Kushindwa
kuyeyusha chakula
GALLSTONE (UCHAFU ULIO NDANI YA KIFUKO CHA NYONGO)
Mara nyingi nyongo husaidia kuyeyusha vyakula vya mafuta , uchafu ulio ndani ya nyongo husababisha nyongo isifanye kazi vizuri , na wakati mwingine nyongo hudhurika.
EYE SIGHT DISEASES
Kupoteza uwezo wa kuona sawasawa.
ANOREXIA / LOSS OF APPETITE:
Kukosa hamu ya kula
COUGHS
Kukohoa au kikohozi
ASTHMA
Shida ya pumu, kubanwa katika mapafu na kushindwa kupumua ghafla..
UTAYARISHAJI WA KITUNGUU SWAUMU KWA AJILI YA MATIBABU YA MARALIA
Chukua punje 6 mpaka 7 za vitunguu swaumu, menya kisha vikatekate saizi ya vidonge, vimeze kwa maziwa ya moto au maji/ mara 3 kwa siku kwa muda wa siku 14. kwa magonjwa mengine yaliyoandikwa humu vimeze kwa muda mrefu maana hutibu kama chakula.
KUUMWA NA NYOKA AU NGE
kwa kuumwa na nge, saga kitunguu swaumu kiasi fulani upake pale ulipoumwa na pia kwa kuumwa na nyoka fanya vile vile kama ulivyoumwa na nge, fanya hivyo mara 3 kwa siku kwa muda wa wiki 1
2 wafalme. 20:7 Mungu mungu alimwambia Hezekia kuwa angemwongeza miaka 15 katika maisha yake. Kwa nini hakumponya pale pale?
Ni
kwa sababu matibabu hayo ya asili yalibarikiwa na mungu. Ndio maana aliwaambia
wachukue mkate wa tini na wapake kwenye jipu lake.
Mungu wa
viumbe vyote, alimwongoza mwanadamu atumie dawa za asili leo
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku