Lina vitamini A, B na C
Huleta
yafuatayo mwilini:
Nguvu
ya mwili na ubongo
Hujenga
neva na fahamu
Hujenga
mifupa na kuipa nguvu
Huleta
kuona vizuri
Vita
yake mwilini:
Hupiga
vita ukosefu wa damu (anaemia)
Hufanya
kazi kuondoa nywele zinazoanguka
Husaidia
kukuza nywele zinazodumaa (dandruf)
Husaidia
kutuliza maumivu (inapopakwa au kusuguliwa sehemu yenye maumivu)
Huondoa
harufu mbaya mdomoni
Inasaidia
kwenye mfumo wa Umeng’enyaji wa Chakula.
MATIBABU
Majani yake yakichemshwa kama chai na kunywewa husaidia kuondoa matatizo ya mwili;
Uchovu
Udhaifu
Kujisikia
ovyo
Kuumwa
kichwa
Koo
(throat)
Tumbo
Mapafu
Uvimbe
Vidonda
mdomoni (kwa kutafuna majani)
Kukwama kwa mkojo(kwa kutumia mbegu iliyosagwa na kukaangwa)
Koroga vijiko 2 vya unga huo katika maji ya moto kikombe kimoja.
Mbegu yake ikisagwa na kutumika kwenye Uji husaidia kuondoa matatizo ya Shinikizo la juu la damu na matatizo ya Moyo kwa Ujumla. Mgonjwa anatakiwa kutumia kwa wiki 4 hadi 8 kutwa mara 3.
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku