Nanasi
ina vitamini A,B na C na pia ina madini ya chuma, calcium, copper na
phosphorous. Tunda hili husaidia kutengeneza damu na kuimarisha mifupa , meno,
neva na misuli (muscles).
TIBA
YAKE
Hutibu
matatizo ya tumbo
Bandama
(spleen)
Ini
Utumbo
mwembamba
Homa
Vidonda
mdomoni
Magonjwa
ya koo
Kupoteza
kumbukumbu
Maradhi
ya akili
Kukosa
mori (low spirit)
Kikohozi
Kutetemeka
Woga
Matatizo
ya wanawake (upungufu wa hormones au makosa fulani katika sehemu za
siri )
Huondoa
shida ya kufunga choo
Baridi
yabisi
Upungufu
wa danu
Inasaidia
akina mama wanaonyonyesha (wenye maziwa machache)
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku