
Asubuhi Kula Matunda Tu: Unatakiwa kula Matunda
tu kuanzia asubuhi unapoamka hadi saa 6 mchana. Huruhusiwi kula kitu kingine
chochote zaidi ya haya matunda tu, na ule matunda mengi kadri uwezavyo ni
muhimu sana.
Mchana na Jioni kula
Kachumbari: Tengeneza Kachumbari ya kutosha, unaweza kuweka nyanya,
kitunguu, Tango, Karoti, Pipili Hoho, Kabeji, na vinginevyo unavyo vipenda.
Unatakiwa kula kachumbari hii hadi Ushibe kabisa. Ikiwa njaa itawahi sana
kukuuma baada kula kachumbari yako basi unaweza kula chakula kingine
ulichokizoea.
Wakati unafuata utaratibu huo wa kula huruhusiwi kabisa kula vitu
vifuatavyo.
·
Vyakula ambavyo hujapika wewe au mtu unayemuamini mfano
Usile kwa Mama ntilie, Migahawani, Hotel na Sehemu nyinginezo kama hizo.
·
Usile vyakula kutoka kiwandani kama Soda, Juice, Bia,
mikate, Maandazi, Chapati, Biscuit, na vingine vingi vinavyotenenzwa viwandani.
·
Usile vyakula vyote
vitokanavyo wanyama au Maziwa
·
Usitumie dawa za kutuliza maumivu, dawa za Presha, au Sukari
·
Usile chakula baada ya saa 2 usiku.
·
Usile virutubisho
·
Usitumie Sukari au Glucose.
Ikiwa bado hujaelewa utaratibu huu unaweza kuwasiliana nami Kwa
+255676298270 kwa Maelekezo zaidi.
Nb:- kufunga
ni msaada katika kudhibiti tamaa ya chakula na zoezi la kuwa na kiasi maishani.
Kufunga ni dawa bora kwa magonjwa mengi, hasa kwa watu wasiofanya kazi ngumu za
mikono.
UMUHIMU
WA CHAKULA KIZURI
Chakula ni uhai wa mtu, tena chakula ni uzima. Kile unachokula ndicho wewe. Chakula unachokula ndicho hukutengeneza wewe (mwanzo 1:29, eze 47:12)
Mungu
huwaelekeza watu wake kutumia dawa nyepesi, kuna njia nyingi za uponyaji lakini
ipo moja tu ambayo imethibitishwa na mbingu.
Dawa
ya mungu ni rahisi na haidhoofishi mwili wa mtumiaji. Hewa safi, maji na
chakula bora. Usafi wa maisha na imani imara juu ya mungu, ni dawa zinazotakiwa
kwa maelfu ya wanaokufa, hata hivyo dawa hizo hazijaliwi kwa sababu
matumizi yake yanahitaji uangalifu ambao watu wengi hawapendelei.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku