Huwa inatokea wakati Fulani mama akimnyonyesha
mtoto anakuwa anaharisha sana, hapo mama anatakiwa kuyasafisha maziwa yake
kwanza.
Jinsi
ya Kusafisha
Mama anatakiwa kuchukua papai zile changa kabisa na kuzichemsha vizuri kabisa wakati sufuria imefunikwa kisha kifukize kwa hayo maji huku maziwa umeyaacha wazi, baada ya kujifukiza osha maziwa kwa maji hayo na baada ukamulie maziwa yote kwenye kifuu cha nazi. Baada ya zoezi hilo endelea kumnyonyesha mwanao kama kawaida na hatoweza kuharisha tena.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya
Hizo papai nazimenya au na nikisha kamua kwenye kivuu nayamwaga au
ReplyDelete