Dawa hii inaweza kumsaidia mgonjwa wa UKIMWI hata
kama amechoka kiasi gani anachotakiwa ni kujitahidi kunywa kwa utaratibu
uliowekwa na baada ya muda mfupi atakuwa amekaa vizuri kabisa
MAHITAJI:
1. Tangawizi robo Kilo
2. Kitunguu Swaumu robo Kilo
3. Karoti robo kilo
4. Aloe vera majani makubwa 4
5. Malimao Size ile kubwa 6
Matayarisho:
Osha vitu vyote na uvikatekate vipande vidogo
vidogo sana, weka maji Lita 5 na uchemshe. Chemsha kama inavochemka chai tu afu
itoe kwenye moto na ufunike hadi ipoe kabisa, baada ya hapo chuja na uhifadhi
maji hayo kwenye friji.
Matumizi:
Mgonjwa anatakiwa kuwa nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku 12 au 13. Baada ya hapo anaweza kuwa anarudi dawa hii kila baada ya miezi mitatu au zaidi kwa kadri anavyoona inafaa.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku