Ni
tiba ya magonjwa nje na ndani ya mwili
Maradhi ya
muda mrefu na mfupi yanayosababisha kifo huweza kuponywa kwa urahisi sana kwa
njia inayoiywa water therapy
unaweza kutumia jedwali hili hapa chini:
Uzito (Kg) Maji (lt)
45 Kg (lita) 1.9
50 Kg (lita) 2.1
55 Kg (lita) 2.3
60 Kg (lita) 2.5
65 Kg (lita) 2.7
70 Kg (lita) 2.9
75 Kg (lita) 3.2
80 Kg (lita) 3.5
85 Kg (lita) 3.7
90 Kg (lita) 3.9
95 Kg (lita) 4.1
100 Kg (lita) 4.3
Kwa staili hii ndipo maji huwa ni zaidi ya
dawa.
Kila mmoja wetu sasa anaweza kutumia uzito
wake kwa kutumia fomula hii na kujua ni kiasi gani cha maji anahitaji kwa siku.
Magonjwa yanayoweza kuepukika na kutibika kwa
kutumia maji ya kunywa ni pamoja na:
1. Vidonda vya tumbo
2. Tumbo kunyonga
3. Kiungulia
4. Mafuta yaliyozidi
5. Kansa ya utumbo mdogo
6. Kukinaishwa na chakula
7. Ngiri (ernia)
8. Kansa
9. Kisukari
10. Kifua kikuu (TB)
11. Shinikizo la damu(BP)
12. Mfadhaiko (stress)
13. Matatizo ya moyo na kuzimia
14. Magonjwa ya tumbo
15. Magonjwa ya ngozi
16. Magonjwa ya Ini
17. Pumu (Asthima)
18. Mzio (Allergy)
19. Chunusi
20. Homa
21. Kupunguwa nguvu na kinga ya mwili
22. Matatizo ya kina mama
23. Kansa ya kizazi
24. Kikohozi
25. Kuharisha
26. Nyongo
27. Matatizo ya tumbo
28. Kupungua uzito
29. Upungufu wa damu (anaemia)
30. Vichomi
31. Utipwatipwa
32. Bawasiri
33. Kuzeeka mapema, na magonjwa mengine mengi.
Kunywa maji masaa mawili au mawili na nusu
baada ya chakula kunasaidia kumalizia umeng’enyaji wa chakula na kuunywesha
mwili maji baada ya kukaukiwa kulikosababishwa na kazi ya umeng’enyaji wa
chakula.
Kunywa maji ya kawaida katika joto la
kawaida.
NAMNA
YA KUTUMIA MAJI KAMA TIBA
Baada
ya kuamka asubuhi na mapema, kabla ya kupiga mswaki na kunawa uso, kunywa
bilauri 4 za maji. Usile wala kunywa chochote mpaka baada ya dakika 45. baada
ya kunywa bilauri 4 za maji ndipo upige mswaki na kunawa uso
Kwa
walio dhaifu wanashauriwa , waanze mpango huu kwa kunywa bilaui 1 mpaka 2, na
pole pole waongeze idadi hata kufikia 4.
Water
therapy pia ina msaada mkubwa kwa afya yako na huwasaidia wengi kujenga afya
zao na kuwaponya kwa kipindi kifupi sana
Uchunguzi
umebain kuwa, kwa tiba hii ya ajabu maradhi yafuatayo yanaweza kupona kwa
kipindi kilichooneshwa.
Shinikizo
la damu – mwezi 1
Matatizo
ya gesi – siku 10
Kisukari
– mwezi 1
Kufunga
choo – miezi 6
Kana
– miezi 6
Kifua
kikuu – miezi 3
Wenye
gesi na homa za mifupa (dozi ni mara 3, kwa siku 10.)
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku