Soya
ina vitamin A,B,C,D,E na K. hakuna chakula duniani chenye vitamini nyingi kama
hiki, soya ina protini ya ajabu na mafuta pia ambayo huifanya kuwa chakula
pekee na safi. Uboreshaji wake wa afya ulifanya watu wa zamani kuitambua kama
chakula cha pekee kwao ikawa chakula kizuri cha mbadalaambacho walikitumia badala
ya nyama, maziwa na mafuta (butter) pamoja na mayai.walitumia watu wa rika
zote, na wagonjwa pia, ilitumiwa pia kulisha ndama, ng’ombe, na kwa kufanya
hivyo 90% ya ugonjwa wa kifua kikuu ulipungua kwa ndama. Soya ina mambo mengi
na misaada katika miili ya wanadamu.
KAZI YA SOYA MWILINI
Soya ina glycerine na fatty acid ambayo inasaidia kazi nzuri ya ufanyaji kazi wa ubongo na maini. Pia ina chakula kizuri kwa neva ya ufahamu iliyochoka maana ina licitini, hii huifanya kuwa chakula kizuri sana kwa wazee.
PROTINI YAKE
Kilogram
1 ni sawa na protein inayopatikana katika mayai sabini.
Kilogram
1 ni sawa na protein inayopatikana katika nyama kilo 3
Kilogram
1 ni sawa na protein inayopatikana katika maziwa lita 2.
MATUMIZI
Soya hutengenezwa karanga za kutafunwa
Soya
hutengenezwa chakula cha nyama.
Soya
hutengenezwa maziwa mazuri sana
Unga
wa soya hutumiwa kwa:-
Kukaangia
chakula
Kupikia
ugali
Kupikia
chapati na mikate.
MATAYARISHO
SOYA HUTIBU YAFUATAYO
Hutibu vidonda vya tumbo
Kisukari
Saratani
Tumbo
Figo
Ini
n.k
Ikumbukwe, kama tulivyoona hapo juu kwamba, maharage ya soya ni chanzo kizuri sana cha protein ifaayo kwa ukuzi na ustawi wa binadamu. Hata hivyo ni vyema izingatiwe kuwa, ndani ya maharage hayo vimo viini ambavyo visipodhibitiwa huudhuru mwili wa mlaji, viini hivyo vinajulikana kama “Anti Nutritional Factor” mojawapo na maarufu ni vile viitwavyo “Trypsin initiator” ambavyo vinapotumiwa huzuia protein isitumike mwilini mwa mlaji. Salama ni kuhakikisha kuwa hizo “Anti – Nutritional Factors” zimeangamizwa, nazo huweza kuangamizwa kwa njia ya joto kwa kuchemsha au kukaanga. Kwa matokeo mazuri, kabla ya kuchemshwa au kukaanga ni vyema kuyaloweka majini – kikombe kimoja cha soya katika vikombe 5 vya maji kwa muda wa masaa 6, kisha chemsha kwa dakika 30, yakaushe barabara ndipo yasagwe
ZINGATIA
UWIANO UFUATAO
1:9
kwa ajili ya uji (unga wa soya : unga mwingine)
1:3
kwa wjili ya maziwa (unga wa soya : maziwa)
Ili kuandaa
unga wa soya wenye mwonjo wa lishe unaokubalika, tumia maharage ya soya mazima
kabisa.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku