Asali
na mdalasini vyaweza kutibu magojwa yafuatayo
Ugonjwa
wa viungo / maumivu na uvimbe
Tengeneza
kikombe cha chai (vijiko 2 vya chakula vya asali na kijiko 1 cha chai cha
mdalasini) kunywa asubuhi na jioni.
Chua
sehemu yenye maumivu kwa kutumia mchangayiko wa asali,maji ya uvuguvugu na
mdalasini
Kukatika nywele (hair loss)
Mchanganyiko
wa asali, mdalasini na mafuta vuguvugu ya aloevera. Hutoa kichocheo maridhawa
cha kuotesha nywele, kinachotumika katika dawa ya dork. Mchanganyiko huo
vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuacha kwa dakika 15.
Ukungu wa miguuni (fungus)
Mchanganyiko
wa asali kijiko cha mezani 1, mdalasini vijiko 2.
Paka
semu zilizo athirika., kaa nayo kwa nusu saa, kisha nawa na sabuni.
Maambukizo kwenye kibofu cha mkojo (bladder infection)
Mchanganyiko
wa asali kijiko 1, mdalasini vijiko 2 vya chai n maji ya uvuguvugu. Huondoa
backteria kwenye kibofu,tumia kama juisi.
Maumivu ya jino (toothache)
Mchanganyiko
wa asali kijiko 1 cha chakula, mdalasini kijiko 1 cha chakula.
Koroga, iache siku 1 ndipo udondoshe kwenye jino 1, hasa lililochimbika. Fanya
hivyo mara 2, kila siku kwa siku 5 mfululizo.
Vidonda vitokanavyo na kulala kwa muda mrefu (cancer sores / bed sores)
Mchanganyiko
wa asali , mdalasini na saladi ya kupaka vidonda kwenye chai ya respebery ni
dawa nzuri ya bed sores
Rehemu (chorestral)
Bilauri
1 yenye mchanganyiko wa mdalasini vijiko 2 vikubwa na maji ya moto.
Mafua (colds)
Kijiko
1 cha mezani, cha asali vuguvugu iliyochanganywa na kijiko cha chai cha
mdalasini. Mchanganyiko huu huondoa chafya na kuvimba koo.
Ugumba
Asali
huamsha ashiki kwa wapenzi wa aina zote 2. kunywa angalau vijiko 2 kwa siku,
usiku kabla ya kulala. Familia 1 iliyokuwa haina watoto ilitumia mchanganyiko
(mgando) huu wa asali na mdalasini na kufanikiwa kupata watoto mapacha wa kike,
baada ya kushindwa kupata watoto kwa muda wa miaka 14.
Mdalasini
umetumika kwa muda mrefu kama dawa ya kuongeza uwezo kwa akina mama wenye
kuhitaji kuzaa. Kula kipande cha mkate, chenye virutibisho vingi, kilichopakwa
kijiko 1 cha mezani cha mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Hii
hupunguza kuganda kwa mishipa ya damu.
Shinikizo la damu
Dozi
za mara kwa mara za asali iliyochanganya na mdalasini
Kinga ya mwili (immune system)
Kinga
yako ya mwili itaongezeka mara 3 zaidi, kama utatumia mara kwa mara asali na mdalasini
Mchafuko wa tumbo
Asali
huondoa mchafuko wa tumbo pamoja na kichefuchefu, ongeza na kiasi kidogo cha
mdalasini, utapunguza maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.
Tindikali au gesi
Kula
asali pamoja na mdalasini, huweza kuondoa mchafuko tumbo uletwao na gesi na
acid
Ugonjwa wa moyo (heart diseases)
Unaweza
kukinga ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtando wa mafuta kwenye damu
kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara, au kwa kupaka kwenye mkate wakati wa
kifungua kinywa.
Ukosefu wa nguvu za kiume / uhanisi (impotence)
Asali
huamsha ashiki, ni dawa madhubuti ya kuponyesha uhanisi. Kutokana na uwezo wake
ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za mashariki
Kutomeng’enywa
kwa chakula tumboni (indestion)
Kunywa
vijiko 2 vya asali, vilivyonyunyiziwa mdalasini kabla yam lo. Huondoa kiungulia
. asali pia husaidia kutolewa kwa juisi zinazotumika kumeng’enya chakula
(enzymes) . na mdalasini unaongeza kasi ya kumeng’enya chakula
Flu (mafua makali)
Umri
wa kuishi (longevity)
Pata
kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali kila siku, unaweza kuishi hadi
miaka 100, ukifurahia maisha
Weka
vijiko 4 vikubwa vya mdalasini katika vikombe 3 vya maji, koroga kwa dakika 10.
kunywa robo kikombe kutwa mara 3 au 4. kwa kufanya hivyo utakuwa na afya njema.
Chunusi (pimples)
Changanya
vijiko 3 vya asali pamoja na kijiko 1 cha mdalasini. Kisha pakaa kwenye
chunusi, unaweza kupaka sehemu iliumwa na wadudu washa washa wenye sumu pia,
rudia mara 3 hadi viuvimbe viishe
Maradhi ya ngozi (skin infection)
Fanya
kama alivyoelekezwa mwenye chunusi.
Kupungua uzito
Changanya
asali vijiko 2 na mdalasini kijiko 1, katika maji ya uvuguvugu. Kunywa kila
siku asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Saratani (cancer)
Tumia
dozi ya asali na mdalasini kila siku kwa mwezi 1. tumia kijiko cha asalina
mdalasini kutwa mara 3.
Uchovu
Sukari asilia iliyoko kwenye asali huongeza nishati mwilini, sukari hii huwasaisia wazee wachovu. Changanya nusu kijiko cha asali katika bilauri yenye maji nusu, kunywa masaa 2 baada ya kuamka, rudia tena saa 9 alasiri. Fanya hivyo kila siku
Kuvimba nyayo (sore feet)
Chua
kwa mchanganyiko vuguvugu wa asali na mdalasini. Kisha osha nyayo kwa maji
baridi ndipo uvae viatu.
Harufu mbaya mdomoni
Kula
kijiko 1 cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni, asali huua
backteria na kupigana na harufu mbaya
Kupungua kwa usikivu (hearing loss)
Tumia
asali na mdalasini kila siku.
JINSI YA KUCHANGANYA ASALI NA MDALASINI
Chukua
Asali Lita 1 na Mdalasini vijiko kumi vya chakula, Koroga vizuri mchanganyiko
wako na Uhifadhi sehemu safi na salama, Sio vizuri kuhifadhi mchanganyiko huu
kwenye Jokofu.
MATUMIZI YAKE
Tumia
kulingana na aina ya tatizo lako(Tazama hapo Juu kuona matatizo yanayotibiwa).
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku