Majani
ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazon kwa
maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa. Ndiyo hii inaweza kuwa ni
habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba asili
kwa ujumla lakini sasa habari unayo.
Mti
huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu wote duniani
kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali ikiwemo saratani ya
tezi dume.
Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu ….
Majani
ya mti wa mstafeli yanaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya mionzi. Na
jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata kidogo tofauti na
tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine zenye afya wakati wa matibabu
yake.
Yaani
dawa hii ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua huku
ikikuachia seli zako zenye afya bora zaidi. Kama haitoshi majani ya mstafeli
yanaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na kuongeza kinga ya
mwili kwa haraka sana.
Juisi
ya tunda la mti huu hutumika kutibu Ukoma (leprosy)
Majani
haya yamethibitika siyo kutibu saratani au kansa ya tezi dume bali na aina
nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni pamoja na:
1.
Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na sratani nyingine nyingi
Majani
ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali mwilini na
hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.
Majani ya mstafeli yanatibu pia:
- Kisukari
- Gout
(maumivu ya jongo)
- Maumivu
ya mgongo
- Yanaongeza
kinga ya mwili
- Yanaimarisha
afya ya tumbo kwa ujumla
- Kufunga
choo
- Msongo
wa mawazo (stress)
- Yanaimarisha
afya ya nywele
- Yanaimarisha
afya kwenye mfumo wa upumuwaji
- Yanaongeza
afya ya ngozi
- Mazuri
kwa afya ya moyo
- Yanadhibiti
homa na kutuliza joto la mwili
- Dawa
nzuri kwa matatizo mengi ya uzazi
- Huongeza
stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa
- Hutibu
jipu na vivimbe
- Hudhibiti
ukuwaji wa bakteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe
- Ni
tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike
kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa
siku
Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi
hawaifahamu …
Kuna
wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna wakati watu
wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu zaidi ya kukosa tu maarifa.
Kile
nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli kutibu kansa
uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya Marekani lakini matokeo
yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!
Kwanini
hawakutaka kutangaza kwa watu?
Hakuna
mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na matokeo hayo
bila kutangaza kwa watu. Hata hivyo wengi wanaamini ni kutokana na vipimo na
matibabu ya ugonjwa huu kuwa ni dili kubwa kwa viwanda vya madawa na biashara
kubwa kote duniani.
Sababu
kuweza kutibu ugonjwa mkubwa hivyo (kwa mjibu wa maoni yao) kwa kutumia mmea
rahisi hivyo kupatikana ni jambo lisilo na faida. Matatizo mengi ya binadamu
chanzo chake kikuu cha matatizo hayo ni hela.
Pamoja
na hayo Mungu yupo na hatatuacha watu wote tuangamie kijinga hivyo. Wachache
atatuokoa tu kwa namna yoyote. Hivyo watu wengi tayari wameanza kugeuka upande
huu wa pili na tayari wanaona faida zake.
Utatumiaje majani ya
mstafeli kama dawa?
Namna
nzuri zaidi na ili kujihakikishia unapata faida zake kwa kiwango cha juu kabisa
ni kutumia juisi freshi ya majani haya.
Unachohitaji ni kuwa na blenda ya umeme, maji
na majani mabichi ya mstafeli.
Tengeneza juisi yako tuseme majani 12 unaweza kutengeneza juisi vikombe viwili
(nusu lita) na unywe kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara 2 kila nusu saa
kabla ya chakula cha asubuhi na cha jioni kwa mwezi mmoja mpaka miwili hata
mitatu kama tatizo lilikuwa limedumu miaka mingi.
AU
Chukua
majani Kilo 1 halafu yasage vizuri kabisa kisha weka maji Lita 5 koroga vizuri,
Hifadhi kwenye Friji(Jokofu) ili isiharibike. Mgonjwa anywe kikombe cha chai
kutwa mara 2 au mara 3 kulingana na nafasi yake.
Tengeneza chai kutokana na
majani freshi ya mstafeli na unywe kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa mwezi mmoja.
Inashauriwa hiyo chai unywe nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi, mchana na
jioni.
Kama hutaweza kupata majani freshi ya mti wa
mstafeli unaweza kutumia majani makavu ya mti huu yaliyo katika mfumo wa unga
kwenye maduka ya dawa za asili sehemu nyingi hapa Tanzania.
Kwenye hiyo chai ya majani ya mstafeli ndani
yake weka vitu hivi pekee; maji ya chai, majani ya mstafeli na asali au sukari,
usiongeze majani mengine ya chai humo. Pia inashauriwa utengeneze chai ya
kutosha kuitumia kutwa nzima yaani uchemshe vikombe vitatu kwa wakati mmoja na
uinywe kikombe kimoja kutwa mara tatu
Ni
dawa nzuri kwa kansa karibu zote pia inaondoa uvimbe wa aina yoyote.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Ni dawa nzuri Haina kemikali
ReplyDelete