Dawa
hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, Ni dawa
ambayo imetumika kwa miongo mingi sana kutibia matatizo mbalimbali ya wanawake.
Imethibitiksa kuwa na uwezo wa:-
1.
Kusafisha
Kizazi.
2.
Kuzibua
mirija ya uzazi
3.
Inatibu
kabisa matatizo ya change la uzazi
4.
Inapevusha
haraka mayai hivo kupelekea mwanamke kuwahi kupata mimba.
5.
Inarekebisha
mfumo wa homoni wa mwanamke
6.
Inarekebisha Mfumo wa hedhi na kutibia maumivu
makali wakati wa Hedhi.
MATUMIZI
Chukua
majani haya yatangwe vizuri kasha loweka ikae kwa masaa 12 kisa mgonjwa anywe
kikombe cha cha kutwa mara 3 kwa siku 3 hadi tano. Ni vizuri sana kama mgonjwa
atatumia kipindi chake cha hedhi. Lakini kama hapati hedhi basi atumie Muda
wowote ule. Hivo ni vizuri sana kuyapanda majani haya nyumbani kwako kwa kuwa
ni muhimu sana.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku