Hutibu matatizo yafuatayo:-
Kuumwa mgongo
Kusafisha njia ya mkojo
Kusafisha damu
Unatibu
tigo
Unatibu minyoo
Unatibu damu
Baridi yabisi
Tezi la shingo
Homa
Kuongeza damu
Unatibu maumivu
Tonic ya nywele
Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi
Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5
KUTIBU MGONGO
Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanyahivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)
Chukua mchicha kiasi kidogo, ponda, fungia shingoni pale penye uvimbe wakati unapolala kwa kitambaa, kwa muda wa siku 21.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku