Dawa hii ni nzuri sana kwa kuondoa uvimbe
kwenye kizazi kwa wanawake wa umri wowote, Unachotakiwa ni kuhakikisha
unachukua vitu ambavyo vipo katika hali nzuri. Sio vilivyoharibika au Kuoza.
Ili kuandaa juisi ya kuondoa uvimbe, saga
kiasi kidogo cha viazi sukari freshi na uchanganye pamoja na kijiko
kidogo cha chai kimoja cha unga wa kitunguu swaumu.
Changanya mchanganyiko huo vizuri na uongeze
kikombe kimoja cha juisi freshi ya karoti, ongeza kijiko kimoja kidogo cha
asali, tikisa vizuri na unywe mchanganyiko huu mara kwa mara mpaka utakapopona.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku