Kama
ambavyo mmea huwa unavumilia sana ukame ndivyo pia ambavyo Mmea huu unauwezo wa
kutibia maradhi mengi sana kwa binadamu hata ya magonjwa ambayo yanatajwa kuwa
hayata tiba kabisa.
Dawa
hii ina uwezo kutibia maradhi yote sugu, Hivo ikiwa una ugonjwa wowote ambao ni
Sugu basi dawa hii ndio inatakiwa uitumie.
MATUMIZI
Chukua
majani yake hayo na uyakate kate vizuri upate kilo 4 na Uchukue unga wa mbegu
ya parachichi kilo 1. Kisha uchemshe mchanganyiko huo kwenye maji lita 15, Acha
ichemke kabisa hadi Maji yabaki maji lita 12, Kisha chuja vizuri na magonjwa
anatakiwa kunywa Lita 2 kila siku kwa muda wa mwezi 1. Ikiwa uwezekano wa
Kuchemsha nyingi hivo kwa mara moja ni mgumu basi chemsha Lita 5 kwa kuweka
Majani kilo 1 na Unga wa mbegu ya parachichi robo kilo. Ikichemka itabaki lita
4 ambayo mgonjwa atakunywa siku 2 tu halafu unatengeneza nyingine hadi
utakapofika mwezi mmoja.
Pia unaweza kutazama kwa
vitendo nenda Youtube andika “dawa ya cancer na magonjwa Sugu”
Utaona jinsi ambavyo nimefundisha kwa vitendo kabisa jinsi ya kuandaa dawa hii.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku